MUNGU NI NANI?Hili ni swali nzuri sana. Kuna majibu mengi sana kwa hili swali. Watu wengine husema "Hakuna Mungu". Jibu lako kwa swali hili, litatambua jinsi unavyo wajali watu wengine. Tena jibu lako litaonyesha ni wapi utakapoishi baada ya hapa duniani. Jinsi tunavyo amini Mungu ni nani, hudhibitisha kama tunaabudu Mungu wa kweli au sisi wenyewe. Kama tunampenda Mungu, basi inatupasa tuwapende watu wengine. Kuna dini kubwa tatu hapa duniani. Sote hufundisha mafundisho tufauti. Kwa hivyo zote tatu haziwezi kuwa za ukweli. Hebu nifafanue: Dini ya KiKristo husema ya kwamba, "Mungu alikufa kwa ajili ya mwanadamu". Dini ya KiIslamu ni sawa na kujiabudu. Kwa neema tunaokolewa kwa njia ya imani. Angalia WaEfeso 2:8. Sisi wote hufanya makosa. Kosa langu kubwa ni kumkataa Yesu Kristo. Nayo hatua yangu ya maana ni kumkubali Yesu Kristo kama Mwokozi wa maisha yangu. Yesu alimuuliza Petero, "Wewe husema mimi ni nani?" Yesu anakupenda. Hili ni swali nzuri sana. Kuna majibu mengi sana kwa hili swali. Watu wengine husema "Hakuna Mungu". Jibu lako kwa swali hili, litatambua jinsi unavyo wajali watu wengine. Tena jibu lako litaonyesha ni wapi utakapoishi baada ya hapa duniani. Jinsi tunavyo amini Mungu ni nani, hudhibitisha kama tunaabudu Mungu wa kweli au sisi wenyewe. Kama tunampenda Mungu, basi inatupasa tuwapende watu wengine. Kuna dini kubwa tatu hapa duniani. Sote hufundisha mafundisho tufauti. Kwa hivyo zote tatu haziwezi kuwa za ukweli. Hebu nifafanue: Dini ya KiKristo husema ya kwamba, "Mungu alikufa kwa ajili ya mwanadamu". Dini ya KiIslamu ni sawa na kujiabudu. Kwa neema tunaokolewa kwa njia ya imani. Angalia WaEfeso 2:8. Sisi wote hufanya makosa. Kosa langu kubwa ni kumkataa Yesu Kristo. Nayo hatua yangu ya maana ni kumkubali Yesu Kristo kama Mwokozi wa maisha yangu. Yesu alimuuliza Petero, "Wewe husema mimi ni nani?" Yesu anakupenda.
Want to know more? Click here for more information. |